.jpg)

Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Frank Ribery ni majina matatu ya wachezaji ambao watapigiwa kura
Agosti 29 mjini Monaco kuwania nafasi mchezaji bora wa Ulaya.Waandishi wa habari za michezo watapiga kura nchini Ufaransa kumvika mchezaji bora wa Ulaya. Msimu uliopitaAndres Iniesta alishinda tuzo hiyo na kwa msimu huu, Ribery atajaribu kutumia mafanikio ya klabu yake ya Bayern Munchen kwenye michuano ya UEFA pamoja na ligi ya nyumbani Bundesliga kama silaha ya kupata tuzo hiyo kwa mara ya kwanza. Mchezaji bora wa dunia mara nne mfululizo Lionel Messi naye atatumia mafanikio ya a Real Madrid.Barca La Liga huku Cristiano Ronaldo naye akipewa nafasi hasa kutokana na juhudi zake binafsi muda wote kwa timu yake ya Real Madrid.

.jpg)