MSAJILI WA VYAMA MPYA HUYU HAPA

Baada ya John Tendwa kustaafu, nafasi ya msajili wa vyama vya siasa leo imepata mrithi baada ye kumteua Rais Jakaya Kikwete kumteua Jaji Francis Mutungu kuchukua nafasi hiyo.Kwa mujibu wa taarifa kutoka ikulu jaji Francis alikuwa Jaji wa mahakama kuu kanda ya Dodoma. Uteuzi wa Jaji Mutungi ulianza rasni tarehe 2 Agosti kwa mujibu wa taarifa kutoka ikulu
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates