FEZA KIKAANGONI TENA

Baada ya kunusurika hapo jana kurudi Home, mwakilishi wa Tanzania Feza Kessy amejikuta katika danger zone tena baada ya kupata kura nyingi za kutakiwa kuondoka mjengoni. Feza amepigiwa kura nne huku Bimp na Cleo wakiwa na kura 3 kila mmoja. Huenda muda wa Feza kuungana na mpenzi wake Oneal aliyetolewa jana umefika . Jumapili ijayo itafahamika akina nani watarudi majumbani mwao. Kura zinapigwa kupitia mtandao wa big brother http://bigbrotherafrica.dstv.com au kwa kutuma jina la mshiriki kwenda 15456 kwa mitandao yote.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates