Unaweza kumuita Ngosha The Swagger Don mtaalamu wa Hip hop kutoka Mwanza TZ... Ameulizwa maswali kadhaa na fans kupitia Twitter na amejibu hivi................
Yuko juu sana...!! “@Roujer255: Unamzungumziaje Ney wa mitego as artist wa hip hop according to yeye na KTMA #AskFIDQ @FidQ”
— KitaaOLOJIA (@FidQ) August 10, 2013
Huwa nafanya hivyo sikuzote bila ya bday “@mtwindwi_ngube: ziebaki siku tatu bornday yako . Je, utaweza kuwasaidia YATIMA @fidq #AskFidQ”
— KitaaOLOJIA (@FidQ) August 10, 2013
Itaanza upya mwezi ujao..“@NGOWI3: @FidQ ile project ya kujenga museum kwa ajili ya Bi. Kidude imefanikiwa kwa asilimia ngapi? #AskFidQ”
— KitaaOLOJIA (@FidQ) August 10, 2013
Ha ha haa.. Unataka kunikosesha promo wewe.. “@cloudcharles91: @FidQ #ASKFIDQ unamkubali mtangazaji gani wa radio hapa tz”
— KitaaOLOJIA (@FidQ) August 10, 2013