NI CHELSEA VS REAL MADRID GUINESS INTERNATIONAL CHAMPIONS CUP

Baada ya Real Madrid kuiliza Everton 2-1 timu ya Chelsea nayoimekata tiketi ya fainali baada ya kuifunga AC Milan 2-0. Chelsea ilikutana na kizingiti cha kwanza ilipocheza na Inter Milan na hapo jana ikaing'oa C Milan ikisubiri fainali itakayochezwa
tarehe 7 dhidi ya Real Madrid. Wachezaji wapya wa kikosi cha The Blues, Andre Schurrle na Kevin De Bruyne waliihakikishia timu hiyo ya London nafasi ya fainali. AC Milan itakutana na LA Galaxy kugombania nafasi ya tatu.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates