Home Unlabelled VAN DIESEL
VAN DIESEL
By burudanibuzz At July 19, 2013 0
Kama umewahi kuona filamu kama Fast & Furious, Multi Facial, Strays, Pitch black, Boiler room & Find me Guilty kati ya nyingine nyingi basi sura ya Mark Sinclair almaarufu Van Diesel si geni kwako. Mwigizaji huyu mbabe, mwenye sauti nzito alizaliwa Julai 18, 1967 na amefahamika kwa kazi zake za uigizaji na uzalishaji wa filamu...