JAY Z,TIMBERLAKE WAKINUKISHA TORONTO

HOV & J.T ON STAGE
Suit & Tie ni moja kati ya ngoma zilizofanya poa sana kwenye albamu ya Timberlake 20/20 Experience ambapo ndani yake kuna mtu mzima Hov. Holy Grail kutoka albamu ya Magna Carta Holy Grail (M.C.H.G) kuna sauti ya Jay Z & Timberlake tena na wasanii wawili hawa wanafanya boonge la tour ambapo hapo jana walikuwa Toronto-Canada kwenye tour waliyoipa jina Legends Of The Summer...
Katika show hiyo iliyofanyika kwa takriban masaa matatu watu zaidi ya 40,000 walihudhuria. Jay Z alipafomu wimbo wa Forever Young na kwa ajili ya kijana Treyvon Martin aliyeuwawa na George Zimmerman.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates