FAINALI ZA UEFA 2013/2014 ZITAFANYIKA HAPA



Baada ya Bayern Munich kunyakua ubingwa wa UEFA pale Wembley safari hii fainali hizo zitafanyika nchini Ureno kwenye uwanja wa Estádio do Sport Lisboa e Benfica. Uwanja huo ndio unaotumiwa na klabu ya Benfica.  Fainali hizo zitafanyika tarehe 24 May, 2014
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates