ROBO FAINALI EURO-WANAWAKE



Kama huna taarifa,ishu ni kwamba kule nchini Sweden mashindano ya soka kwa wanawake barani Ulaya (Euro) yanaendelea. Mpaka sasa michuano hiyo inaelekea hatua ya robo fainali. Ratiba ya robo fainal hii hapa
21 July: Sweden v Iceland (15.00)
21 July: Italy v Germany (18.00)
22 July: Norway v Spain ( 18.00)
22 July: France v Denmark  (20.45)
Fainali itachezwa tarehe 28 mwezi huu kwenye uwanja wa National Friends Arena

DENMARK


ITALIA

SWEDEN

ICELAND
NORWAY

SPAIN
GERMANY

UFARANSA  



Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates