Sauti ya chris Brown ni moja ya sauti zinazosikika sana kwa kipindi kirefu. Juzi alitoa ngoma nyingine kutoka katika albamu yake inayokuja na leo hii anasikika katika ngoma inaitwa Bigger Than Life humo ndani utasikia sauti ya Lil Wayne, Tyga na Birdman---ENJOY
http://www.hulkshare.com/yp49gmq0tj40
Home Unlabelled CHRIS BROWN, LIL WAYNE, TYGA & BIRDMAN-BIGGER THAN LIFE