Alvaro Negredo anatarajiwa kujiunga na Manchester City kwa dili yenye thamani ya paundi milioni 24.5 rais wa Sevilla Jose Maria Del Nido amethibitisha. Akiongelea uhamisho wa huo, Jose ameeleza "We are about to complete the sale of
Negredo to Manchester City. If all goes well, he will say goodbye this
afternoon at the Sanchez Pizjuan,City signing a great player. It is the contract of his life.
Negredo ambaye nchini Hispania anafahamika pia kama La Fiera de Vallecas anaenda Man City baada ya mchezaji mwingine wa Sevilla Jesus Nava kujiunga na klabu hiyo ya Manchester. Timu ya Man City inafanya Pre-season tour Afrika Kusini. Man City pia iko katika mazungumzo na mchezji wa Fiorentina Stevan Jovetic.