Mwigizaji Cory aliyefariki tarehe 13 ameacha muvi moja ambayo bado haijaingizwa sokoni. Kwenye muvi hiyo Cory ameigiza kwa jina la James Archer ambapo alivaa uhusika kama meneja wa stoo.
Home Unlabelled BAADHI YA PICHA KATIKA FILAMU YA MWISHO CORY KUIGIZA