ROONEY AONGEZA MWINGINE




Mshambuliaji wa Man United anayegonga vichwa vya habari kwa sasa Wayne Rooney na mkewe Coleen wamefanikiwa kupata mtoto mwingine wa kiume waliyempa jina Klay. Mtoto wa kwanza wa Rooney anaitwa Kai. Mshambuliaji huyo mahiri anawaniwa na timu kadhaa baada ya kuwasilisha barua ya kuomba kuondoka kwenye klabu yake ya sasa.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates