MICHO AULA UGANDA





                                                                                                     



Kocha wa zamani wa Yanga, Orlando Pirates, St. George na timu ya taifa ya Rwanda Sredojevic Milutin 'Micho' raia wa Serbia amethibitishwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Uganda iliyomtimua kocha
BOBBY WILLIAMSON

 wake Bobby Williamson. Timu ya taifa ya Uganda almaarufu THE CRANES walimtimua  ya Mataifa ya Africa (CAN). Micho atakuwa na kazi ya kuiongoza Uganda kwenye mechi dhidi ya Liberia na Angola kutafuta nafasi ya kushiriki Kombe la dunia 2014 nchini Brazil. Micho atasaidiana na kocha wa timu ya Polisi Sam Timbe ambaye alishawahi kuifundisha Yanga pia.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates