Baada ya Britney Spears na aliyekuwa mwenyekiti
& mkurugenzi wa Def Jam Recordings Anthony L. A Reid kutangaza kuachana na shinadon la kuinua vipaji la X-Factor linaloandaliwa na Simon Cowell, memba wa zamani wa Destiny's Child Kelly Rowland na mwimbaji mwenye asili ya Mexico Paulina Rubio wamefanya makubaliano na Cowell hivyo kuorodheshwa kama majaji wapya wa X-Factor Kelly ambaye alitimuliwa kwenye shindano la namna hiyo la nchini Uingereza amefurahia hatu hiyo huku akiahhidi kufanya vema zaidi.
.