NGWEA NO MORE


Habari za kusikitisha na Tanzania kwa mara nyingine inaomboleza kifo cha kijana na msanii mashuhuri wa muziki Albert Mangwea "Ngwair" aliyefariki jioni hii kwenye hospitali ya St. Hellen nchini Afrika Kusini. Ngwea alienda Afrika Kusini kwa ajili ya shows na kwa mujibu wa taarifa za awalini kwamba kifo cha mwana Chamber Squad huyo kimesababishwa na kutumia dawa za kulevya nyingi kupitiliza (Overdose). Ngwea ni mmoja kati ya Legends kwenye muziki wa Bongo Fleva huku akikumbukwa kwa ngoma kali kama She got a Gwan, Ghetto langu, Mikasi, CNN na nyingine kibao.


REST IN PEACE NGWAIR
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates