SHUKRANI YA KAJALA KWA WEMA





Baada ya mwanadada Wema Sepetu kutoa shilingi milioni 13 kumlipia shostito wake Kajala Masanja kama faini ya kesi iliyokuwa ikimkabili yeye pamoja na mumewe, mwanadada Kajala ameamua kutamka ahsante kwa nia ya kipekee. Kajala amejichora tattoo yenye jina la mrembo Wema Sepetu kwenye bega lake la kushoto kuonesha kuguswa na msaada mkubwa alioutoa Wema kuhakikisha anarejea uraiani.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates