Shoo ya mwanamuziki Justin Bieber imebadilisha ratiba za kufanya mitihani ya mid-term nchini Norway baada ya shule nchini humo kusogeza ratiba ya mitihani hiyo. Justin Bieber anatarajiwa kufanya shoo Norway tarehe 16 & 17 jambo lililowapa walimu hofu ya wanafunzi kukacha mitihani kwa ajili ya kumuona Bieber. Justin Bieber mwenye umri wa miaka 19 alipata umaarufu akiwa na takribani miaka 16 na tangu hapo amekuwa na mashaabiki wengi walio chini ya miaka 20 ambao ni wanafunzi kwa kiasi kikubwa.Zaidi ya shule tano kwenye eneo linalojulikana kama Alesund wamethibitisha kupanga tarehe mpya kwa ajili ya mitihani kupisha shoo hiyo. Alesund iko takribani Kilometa 375 kutoka mji mkuu wa Norway ambako shoo itafanyika.
Home Unlabelled SHOW YA BIEBER NORWAY YASOGEZA MITIHANI MBELE
SHOW YA BIEBER NORWAY YASOGEZA MITIHANI MBELE
By burudanibuzz At April 03, 2013 0