DORTMUND VS MADRID USIKU HUU


VS   Baada ya kukutana mara mbili kwenye hatua ya makundi, usiku wa leo Real Madrid inakutana tena na Borrussia Dortmund waliovuliwa ubingwa wa Bundesliga. Timu hizi zinzkuatana huku kila moja ikiwa imeshapoteza nafasi ya kuchukua ubingwa kwenye ligi zao za nyumbani . Madrid inazidiwa na viongozi wa ligi Barcelona kwa pointi 13 huku mechi takriban 6 zikiwa zimebaki huku nchini Ujerumani Bayern washatawazwa mabingwa. Dortmund ikiwa na mastaa wake kama Mario Gotze, Robert Lewandowski na Marc Reus itajaribu kufanya kile walichofanya hatua ya makundi huku Jose Mourinho akiwa na hesabu za kuingia fainali kuchukua ubungwa wa UEFA na kutimkia timu nyingine.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates