CHELSEA NJE F.A

WEMBLEY
DEMBA BA
Mabingwa watetezi wa FA Chelsea wametolewa na Man City baada ya kufungwa 2-1 katika uwanja wa Wembley. Chelsea ambayo ilinyakua ubingwa huo msimu uliopita baada ya kuwalaza Liverpool kwenye fainali. Man City ilipata goli la kuongoza kupitia kwa Samir Nasri dakika ya 35 kabla ya Sergio Kun Aguero hajaongeza bao la pili dakika ya 47. Demba Ba alliifungia Chelsea goli la kufuta machozi dakika ya 66. Manchester City waliocheza vema kipindi cha kwanza watakutana na Wigan Athletic kwenye fainali itakayochezwa Wembley tarehe 11 May.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates