JUSTIN BIEBER AZOMEWA UINGEREZA

 Justin Bieber at the O2 in London.Justin Bieber performs at The O2 in LondonMambo yanabadilika katika maisha lakini kwa Bieber tangu alipotengana na mpenzi wake Selena Gomez mamboo si mambo kwake kutokana na msururu wa matatizo aliyokumbana nayo. Kutoka kuonekana akivuta bangi, picha zake chafu kuvuja mtandaoni hai hili la kuzomewa na mashabiki Bieber lazima atakua na presha kuhusu kila kilichotokea. Kwa taarifa ni kwamba Bieber alikumbana na zomea zomea za mashabiki nchini uingereza baada ya kuchelewa kupanda stejini kwa masaa mawili. Bieber aliyetimiza miaka 19 March 1 mwaka huu ni mmoja kati ya wanamuziki wenye umri mdogo wanaofanya poa sana huku akiwa na mashabiki wengi wa kike kuliko wale wa kiume.Mashabiki wengi walihuzunika kutokana na wengi wao kukosa kuangalia shoo nzima kwa sababu za kuwahi usafiri wa treni unaotumika sana nchini Uingereza.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates