BALE,LENNON WAIZAMISHA ARSENAL

                                                                                                                                                           Andre Villas Boas huenda anawaonesha Chelsea kuwa walifanya kosa kubwa kutompa nafasi ya kutosha. Tottenham jana imeiondoa Chelsea katika nafasi ya tatu na kuisukumia nafasi ya nne. Magoli ya Gareth Bale na Aaron Lenno yalitosha kuipa Totenham ushindi huo muhimu katika uwanja wao White Hart Lane. Arsenal kwa sasa inashika nafasi ya tano ikiwa pointi 5 nyuma ya Chelsea iliyoko nafasi ya nne. Kocha wa Arsenal baada ya mechi ameendelea na kilio chake cha mabeki ambao amesema ndio chanzo kikubwa cha timu yake kusuasua.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates