SIMBA YAFIA ANGOLA

LIBOLO 
Klabu bingwa Tanzania Simba Sports Club imetolewa rasmi kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika baada ya kufungwa na timu ya Recreativo do Libolo mabao 4-0 na hivyo kutolewa kwa jumla ya magoli 5-0.Simba ilifungwa 1-0kwenye uwanja wa Taifa na matumaini ya kusonga mbele yalifia hapo japo waliendelea kujipa moyo. Nahodha wa Simba Juma Kaseja wakati akiondoka na timu kwenda Angola alidai kuwa watafanya yale waliyofanya kwa Zamalek mwaka 2004 lakini hilo halikuwezekana.Dorivaldo Antonio ,Maieco Henrique,Ruben walifunga mabao ya Libolo ambapo Dorivaldo alipachika magoli mawili.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates