JADAKISS |
Rapa anayeiwakilisha Maybach Music Group ya mtu mzima Rick Ross bwana mdogo Robert Williams a.k.a Meek Mill yuko
kwenye hatua za mwisho ili kutoa mixtape yake aliyoiita DREAMCHASER 3.
Meek Mill ambaye ameshakuwa chini ya label ya T.I Grand hustle records
anatarajia kuidondosha kitaa mixtape hiyo April. Dreamchasers 3 yenye
ngoma 16 imeshirikisha wasanii kama Trina, Wocka Flocka Flame, Future na
Jadakiss.
TRINA |