Prodyuza, director na muigizaji maarufu wa Ghana Van Vicker yuko mbioni kutoa filamu mpya inayoitwa HEART BREAK. Van Vicker mmoja kati ya wasanii wenye mafanikio zaidi barani Afrika huku kazi zake zingine zikipata nafasi Hollywood. Muigizaji huyo mwanzoni mwa mwaka huu alikua nchini Marekani akiwa pamoja na wasanii wengine kama Omotola Jalade. Filamu hiyo mpya bado inashutiwa ambapo tarehe rasmi ya kuzinduliwa haijatangazwa.
Home Unlabelled HEART BREAK REVENGE