Prodyuza Joachim Kimaryo a.k.a Master J, CEO wa MJ Record amerudi mzigoni baada ya kupumzika kwa miaka takriban 9. Prodyuza huyo ambae ni mmoja wa wakali walioanza kutengeneza ngoma kali kibao za Bongo fleva aliamua kupumzika kazi hiyo mwaka 2004 ambapo kichwa kingine kinachotisha kwa sasa Marco Chali aliachiwa jukumu la kushusha production zenye akili. Baada ya kurudi kwenye game, ngoma ya kwanza Master J kuishughulikia ni ngoma ya mkali wa Freestyle Godzillah ambayo haijapewa jina hadi sasa.
Home Unlabelled BAADA YA MIAKA 9-------------MASTER J IS BACK
BAADA YA MIAKA 9-------------MASTER J IS BACK
By burudanibuzz At March 02, 2013 0