WIZ KHALIFA AITWA BABA

WIZ NA KICHANGA
Rapa aliyetambulika kwa ngoma yake ya black and yellow Wiz Khalifa pamoja na mpenzi wake mwanamitindo Amber Rose wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume waliyempa jina la Sebastian. Wawili hao ambao wamekuwa katika uchumba kwa muda sasa wamefurahi kwa pamoja ujio wa mtoto huyo ambae anatarajiwa kuwa chachu ya Wiz na Amber kufunga pingu za maisha.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates