Home Unlabelled CHRIS AFUNGUKIA UHUSIANO NA RIRY
CHRIS AFUNGUKIA UHUSIANO NA RIRY
By burudanibuzz At February 27, 2013 0
Mwanamuziki Chris Brown ameamua kuvunja ukimya na uvumi ambao ulikuwa haujathibitika kuhusu kinachoendelea kati yake na mwanamuziki ambae alikuwa mpenzi wake kabla ya kuachana mwaka 2009. Tetesi za wawili hao kurudiana zilipamba moto ktk vyombo mbalimbali vya habari duniani na Chris Brown ameondoa uvumi huo baada ya kuthibitisha kurejea kwa uhusiano wao. Akiongea katika tafrija ya kuchangia mfuko wa mwanamuziki gwiji Sir Elton John (ELTON JOHN'S AIDS FOUNDATION), Chris alisema wana furaha kurudiana na anashukuru kwa Rihanna kumsamehe. Chris alisema “We are back together. She is the most beautiful girl in the world. But
I’m sad she couldn’t be here tonight; she is rehearsing for her tour.”