Home Unlabelled NI CHELSEA VS MAN UTD ROBO FAINALI F.A
NI CHELSEA VS MAN UTD ROBO FAINALI F.A
By burudanibuzz At February 27, 2013 0
The Blues hapo jana ilijikatia tiketi ya kuingia robo fainali ya kombe la chama cha soka Uingereza FA baada ya kuifunga Middlesbrough mabao 2-0 shukrani ziende kwa Ramires na Victor Moses. Kwa mantiki hiyo timu ya Chelsea itakutana na Manchester United kwemye hatua ya robo fainali ya michuano hiyo. Chelsea imekua ikisuasua katika siku za hivi karibuni na kuna hofu ya meneja wa muda Rafa Benitez kufungashiwa virago na kuonyeshwa njia ya kutokea Stamford Bridge kabla ya msimu kwisha kutokana na matokeo mabovu.