BE READY FOR JAY DEE & PROFESA

Unakumbuka ngoma ya profesa Niamini remix????? Ndani ya ngoma hiyo alikuwemo mwanadada makini kwenye bongo flava music Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee na sasa ni nafasi nyingine kwa wakubwa hao kufanyia haki ngoma nyingine. Kwa taarifa tu ni kwamba Lady Jay Dee anatarajia kuachia wimbo wake mpya aliomshirikisha The Heavy Weight MC Profesa J. Wimbo huo umebatizwa  JOTO HASIRA ni ngoma inayosubiriwa kutokana na nafasi ya Jay D na Profesa kwenye game la muziki Tanzania.......
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates