ARSENAL MDOMONI MWA BAYERN

WILSHERE-ARSENAL
Klabu ya Bayern Munich leo itakua na kibarua cha kulipiza kisasi dhidi ya timu ya London baada ambapo itacheza na Arsenal leo katika uwanja wa Emirates. Bayern waliofungwa na timu nyingine ya London ; Chelsea katika fainali za UEFA mwaka uliopita wanatafuta tiket ya kuingia hatua ya nane bora wakikipiga na Arsenal. Katika mechi nyingine FC Porto ya Ureno inatarajiwa kukipiga na Malaga ya Hispania.
ARJEN ROBBEN-BAYERN
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates