CHELSEA CHALI KWA QPR

Shaun Wright-Phillips: Stepped off the bench to grab the only goal of the gameMchezaji wa zamani wa Chelsea Shaun Wright-Phillips alifunga bao pekee kwa timu yake ya QPR dhidi ya Chelsea goli lililoigharimu Chelsea pointi tatu katika mechi hiyo iliyochezwa Stamford Bridge. Matokeo hayo yaanamaanisha Chelsea imebaki nafasi ya 4 katika msimamo wa ligi ikiwa nyuma ya Tottenham ambayayo inaizidi Chelsea pointi noja huku Chelsea ikiwa na mchezo mmoja pungufu. QPR hata hivyo imeendelea kushika mkia baada ya kukusanya jumla ya pointi 13 sawa na Reading. Liverpool pia ilipata ushindi wa 3-0 dhidi ya Sunderland huku Newcastle ilichapwa 2-1 na Everton. Luis Suarez ameendelea kufanya vizuri baada ya kufunga nagoli mawili huku kinda Raheem Sterling akifunga goli moja.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates