WIZKID ATOKA NA THANK YOU


Msanii  Mnigeria Ayodenji Ibrahim Balogun au Wizkid anavyofahamika na wapenzi wa muziki ametoa ngoma mpya ambayo ameipa jina la THANKYOU ikiwa ni mahsusi kwa ajili ya fans na watu wote waliomsukuma hadi kufika alipo.Wizkid ambae alianza muziki akiwa na miaka 11 tu amepata umaarufu mkubwa Afrika na nje ya Afrika.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates