MADRID WADUWAZWA


Real Betis jana imeichapa Real Madrid 1-0 na kuifanya Madrid iendelee kuzidiwa kwa pointi nane na mahasimu wao wakubwa Barcelona huku Barca ikiwa na akiba ya mchezo mmoja. Barcelona inaongoza msimamo wa La Liga ikiwa na pointi 34 baadaya kucheza mechi 12 ikifuatiwa na Atletico Madrid yenye pointi 31 na idadi sawa ya mechi kama Barcelona.Madrid inashika nafasi ya 3 ikiwa na pointi 26, mchezo mmoja zaidi ya Atletico na Barcelona. Matokeo ya michezo mingine La Liga
MALAGA 4 VALENCIA 0
VALLODID 1 GRANADA 0
RAYO VALLECANO 2 MALLORCA O
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates