TORRES SI KM DROGBA- MATA

Juan Mata amekiri umuhimu wa mshambuliaji wa zamani wa Chelsea aliyehamia Shanghai Shenhua ya China Didier Drogba akisema kuwa kutoka kwake Chelsea kulikua kama "electric shock". Mata ameongeza kuwa Fernando Torres anajribu kuvaa viatu vya Drogba kufanya alichokua akifanya staa huyo lakini inaonekana viatu vya Drogba ni oversize. Akimuongelea Didier Mata amesema angalau kila walipompasia mpira kulikuwa na matumaini ya kupata japo foul jambo ambalo ni la tofauti kwa Torres ambae hawezi kufanya alivyofanya Drogba. Hata hivyo Mata amesema kwamba Torres ni mchezaji mzuri na anajaribu kufanya kila awezalo ili kuwafurahisha mashabiki na watu wote wa Chelsea.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates