Mwaka huu umekuwa na mfululizo wa wasanii wengi kuja Afrika kufanya show. Rick Ross alikuja Bongoland, Lady Gaga wiki chache zilizopita alikua Afrika Kusini, Kerry Hilson kufanya show Nigeria huku akitarajiwa kuja Tanzania na sasa mwanamuziki Chris Brown anatarajiwa kwenda Nigeria Desemba 22 mwaka huu kupiga show.Chris ambae siku za hivi karibuni alihit media baada ya kurudisha majeshi kwa Rihanna atafanya show ktk hoteli inayofahamika kama Eko Hotel jijini Lagos- Nigeria.
Home Unlabelled CHRIS BROWN KUPIGA SHOW NIGERIA
CHRIS BROWN KUPIGA SHOW NIGERIA
By burudanibuzz At December 07, 2012 0