PAPA NAYE AINGIA TWITTER
















Mitandao ya kijamii imekua maarufu sana sehemu nyingi
 duniani huku ikitumiwa na watu wa aina mbalimbali lakini hii ya Papa Benidict XVI kutweet imekua gumzo. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani hapo jana alituma ujumbe "TWEET" jambo lililoamsha hisia tofauti ulimwenguni. Tweet hiyo ilikua ya kwanza kutumwa na kiongozi huyo wa kanisa katoliki.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates