Home Unlabelled KIM KARDASHIAN KITUMBO NDIIIIII!!!!!!!
KIM KARDASHIAN KITUMBO NDIIIIII!!!!!!!
By burudanibuzz At December 31, 2012 0
Mpenzi wa mwanadada Kim Kardashian, rapa Kanye West ametangaza kuwa wanategemea kupata mtoto wa kwanza katika uhusiano wao kwani Kim ana ujauzito wa wiki 12. Habari za ujauzito wa Kim zimeshtusha mashabiki wao wengi na watu wengine kutokana na ukweli kuwa uhusiano wao haukutarajiwa kufika mbali hasa kutokana na historia yao huko nyuma. Kanye ameshapita na warembo wengi kati yao akiwemo modo aliyegeukia muziki Amber Rose na mrembo mwingine Alexis Phifer wakati Kim alipata umaarufu mkubwa baada ya video ya ngono aliyotengeneza na mwanamuziki Ray J kuvuja ambapo alilipwa takriban dola milioni 5, mwanadada huyo pia ameshaolewa mara mbili, mara ya kwanza aliolewa mwaka 2000 na mara ya pili alidumu kwenye ndoa kwa siku 71 tu alipofunga pingu za maisha na Kris Humphrey mwaka 2011.Kim Kardashian nae amethibitisha aliyosema Kanye kwa kuandika
"It’s true!! Kanye and I are expecting a baby. We feel so blessed and lucky and wish that in addition to both of our families, his mom and my dad could be here to celebrate this special time with us. Looking forward to great new beginnings in 2013 and to starting a family. Happy New Year!!! Xo"