EPL ON FIRE KESHO

BA-NEWCASTLE
Siku moja baada ya sikukuu ya Krismasi yaani tarehe 26 Desemba, Ligi kuu ya Uingereza itaendelea ambapo kutakua na mechi takriban 9. Mechi kali kuliko zote inatarajiwa kuwa kati ya viongozi wa ligi Manchester United watakapowakaribisha Newcastle United Old Trafford. Man U inaongoza ligi kwa tofauti ya point 4 mbele ya Man City walioko nafasi ya pili. United baada ya kupata sare ya 1-1 mbele ya Swansea itahitaji ushindi ili iendelee kukaa kileleni mwa ligi kuu. Man City walioko nafasi ya pili, watachuana na Sunderland huku Chelsea ikivaana na Norwich City. Liverpool watakua wageni wa Stoke,mechi zingine:>
RVP-MAN U
>QPR vs West Brom,
>Aston Villa vs Tottenham
>Fulhan vs Southampton
>Reading vs Swansea
>Everton vs Wigan
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates