Matumaini ya Chelsea kunyakua kombe la klabu bingwa dunia yalizimwa dakika ya 69 na goli la Paolo Guerrero na kuifanya timu hiyo ya London kuondoka Japan ikiwa mshindi wa pili. Chelsea ilikuwa na matumaini makubwa hasa baada ya kuichapa Monterrey 3-1 katika mchezo wa nusu fainali. Beki wa Chelsea raia wa Uingereza Garry Cahill alioneshwa kadi nyekundu dakika za mwisho wa mchezo huo Akizungumza na waandishi baada ya meche kocha wa Chelsea Rafa Benitez amesema makosa madogo ndiyo yaliyoigharimu timu yake kutokana na ukweli kuwa walipata nafasi nyingi katika mchezo hu. Kabla ya mechi hiyo kuchezwa Al Ahly ya Misri ilikua na mechi dhidi ya Monterrey kusaka mshindi wa tatu ambako Monterey illibuka na ushindi na kuchukua nafasi ya Tatu
Home Unlabelled CORITHIANS YAWANAWISHA CHELSEA