BALL d`Or SHORTLIST

Shirikisho la soka ulaya (UEFA), limetagaza majina 23 ya wachezaji watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya mwaka huu. Changamoto kubwa inaonekana kuwepo kati ya wachezaji wanaowika duniani kwa sasa Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. Majina haya yatachujwa na kubaki majina 3 ifikapo Novemba 29, ambapo mawili ( MESSI & RONALDO) lazima yaonekane hivyo fumbo kubaki lipi litakua jina la 3 kukamilisha idadi.
 Majina yote 23:
RONALDO & MESSI


 Xabi Alonso, Karim Benzema ,Cristiano Ronaldo, Iker Casillas- REAL MADRID
Sergio Busquets, Gerard Pique,Lionel Messi,Andres Iniesta, Xavi-  BARCELONA
Sergio Aguero,Mario Balotelli,Yaya Toure- MAN CITY
Gianluigi Buffon,Andrea Pirlo- JUVENTUS 
Wayne Rooney, Robin van Persie-  MANCHESTER UNITED
Didier Drogba- SHANGHAI SHENHUA
Radamel FalcaoATLETICO MADRID
Zlatan Ibrahimovic- PSG 
Manuel Neuer- BAYERN MUNICH 
Neymar- SANTOS
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates