MOURINHO, DEL BOSQUE VITANI

Kocha mwenye maneno mengi Jose Mourinho ameingia kwenye listi ya makocha walioteuliwa ktk kinyang`anyiro cha kumsaka Kocha bora 2012. Mourinho ambaye ni Kocha wa Real MAdrid ya Hispania ameingia katika listi hiyo pamoja na majina mengine makubwa kama Vincent Del Bosque aliyeipa Spain taji la Ulaya hvi karibuni. Makocha wote waliotajwa ktk listi hiyo ni pamoja na:
JOSE MOURINHO - THE SPECIAL ONE
DEL BOSQUE













>Vicente del Bosque - Timu ya taifa Hispania
> Roberto Di Matteo - Chelsea
  Alex Ferguson - Manchester United
>Pep Guardiola -  Barcelona
SIR ALEX FERGUSON
> Jupp Heynckes- Bayern Munich
>Juergen Klopp - Borussia Dortmund
>Joachim Loew- Timu ya taifa Ujerumani
>Roberto Mancini - Manchester City
>Jose Mourinho-Real Madrid
> Cesare Prandelli- Timu ya taifa Italia
ROBERTO DI MATTEO
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates