Home Unlabelled TEKNOLOJIA ILIPOMRUDISHA MICHAEL JACKSON JUKWAANI MIAKA 5 BAADA YA KUFA
TEKNOLOJIA ILIPOMRUDISHA MICHAEL JACKSON JUKWAANI MIAKA 5 BAADA YA KUFA
By Iam Owino At May 20, 2014 0
Maendeleo ya teknolojia yanbadilisha dunia na kuthibitisha hilo Michael Jackson aliperform wimbo mpya uliopo kwenye albamu yake ya Xscape iliyoingia sokoni May 2 mwaka huu. Haya yote yaliwezekana kpitia teknolojia inayoitwa Hologram.