Kocha wa timu ya taifa ya Hispania Vicente Del Bosque ametangaza kikosi cha wachezaji 30 ambacho kitachujwa kupata wachezaji 23 watakaoiwakilisha nchi hiyo kwenye fainali za kombe la dunia zitakazoanza Juni 12 mwaka huu nchini Brazil.
MAKIPA
Iker Casillas (Real Madrid)
Pepe Reina (Nápoles)
David de Gea (Manchester United).
WALINZI
Sergio Ramos (Real Madrid)
Gerard Piqué (Barcelona)
Raúl Albiol (Nápoles)
Javier Martínez (Bayern Munich)
Juanfran Torres (Atlético Madrid)
Jordi Alba (Barcelona)
César Azpiliciueta (Chelsea)
Dani Carvajal (Real Madrid)
Alberto Moreno (Sevilla)
VIUNGO
Xavi Hernández (Barcelona)
Xabi Alonso (Real Madrid)
Andrés Iniesta (Barcelona)
Koke Resurrección (Atlético Madrid)
Sergio Busquets (Barcelona)
Santi Cazorla (Arsenal)
Ander Iturraspe (Athletic Club Bilbao)
Cesc Fábregas (Barcelona)
Thiago Alcántara (Bayern Munich)
Juan Mata (Manchester United)
David Silva (Manchester City)
Pedro Rodríguez (Barcelona)
Jesús Navas (Manchester City).
WASHAMBULIAJI
Diego Costa (Atlético Madrid)
David Villa (Atlético Madrid)
Fernando Torres (Chelsea)
Álvaro Negredo (Manchester City)
Fernando Llorente (Juventus).
Home Unlabelled KIKOSI CHA HISPANIA, TORRES NDANI