WALCOTT NJE MIEZI SITA

Mshambuliaji wa Arsenal na timu ya taifa ya Uingereza Theo Walcott atakua nje ya uwanja kwa miezi sita baada ya majeraha aliyopata katika mechi ya kombe la FA dhidi ya Tottenham jumamosi. Mshambuliaji huyo atazikosa fainali za kombe la dunia zinazotarajiwa kuanda Juni mwaka huu. Walcott atafanyiwa upasuaji siku si nyingi zijazo kwa mujibu wa mtandao wa klabu yake ya Arsenal.
Baadhi ya Wachezaji wa Arsenal wametuma pole zao kwa Walcott kupitia twitter.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates