NASRI NJE WIKI NANE

Kiungo mfaransa anayekipiga Manchester City, Samir Nasri atakuwa nje kwa wiki nane kufuatia majeraha ya misuli ya goti aliyopata katika mechi dhidi ya Newcastle. Mapou-Yanga Mbiwa alicheza rafu iliyosababisha kuumia kwa Nasri ambayo ilihofiwa kumweka nje kwa kipindi kirefu zaidi. Samir kupitia ukurasa wake wa aliwashukuru mashabiki kwa sapoti.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates