R.I.P PAUL WALKER

Ulimwengu wa wapenda filamu hasa za "Action" unaomboleza kifo cha mmoja kati ya mastaa wa filamu Paul Walker ambaye amefariki katika ajali ya gari. Walker ni mmoja kati ya mastaa walioshiriki katika mfululiza wa filamu ya Fast and Furious huku Fast and Furious 7 inayotarajiwa kutoka mwakani ikiwa na sura yake pia.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates