ENGLAND YAFUZU WORLD CUP 2014

Timu ya taifa ya England maarufu kama Three Lions ilikata tiketi ya kushiriki fainali za kombe la dunia zitakazofanyika mwaka ujao kule nchini Brazil baada ya kuifunga Poland 2-0. Ushindi huo uliipa England nafasi ya kuwaacha wapinzani wao wakuu kwenye kundi lao Ukraine waliopata ushindi wa 8-0 mbele ya San Marino. Wayne Rooney na Steven Gerrard ndio walikuwa mashujaa wa three lions. Timu zilizofuzu ni pamoja na:- •Brazil (hosts) •Japan •Australia •Iran •South Korea •Italy •Holland •Argentina •Costa Rica •USA •Colombia •Belgium •Switzerland •Germany •Russia •Bosnia-Herzegovina •England •Spain
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates