BE READY FOR LIL WEEZY

Rapa anayewakilisha kundi la Young Money Cash Money (YMCB)Dwayne Carter Jr a.k.a Lil Wayne, Tunechi yuko mbioni kutoa ngoma yake mpya kuitambulisha albamu ambayo anadai huenda ikawa ya mwisho yeye kufanya. Lil Wayne moja kati ya wanaHip Hop wenye majina makubwa na mafanikio makubwa alitangaza kuwa kwenye maandalizi ya albamu yake itakayoitwa The Carter V. Albamu ya Wayne kabla ya hii iliyoko jikoni The Carter IV iliuza zaidi ya nakala laki 9 kwenye wiki yake ya kwanza. Tarehe ya kutoka kwa albamu haijatangazwa.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates