Mtanzania aliyebakia kwenye jumba la Big Brother Afrika Feza Kessy hapo jana alinusurika kurudi nyumbani huku akishuhudia mpenzi wake Oneal kutoka Botswana akiondolewa kwenye jumba hilo. Oneal alipata kura 2, Feza alipata 3 na mshiriki kutoka Ethiopia Bimp akapata kura 10. Feza alichanganyikiwa baada ya show.